Friday, 19 July 2019

CREW NDANI YA BAHARI FM


Wasanii wakali kutoka county 003 leo wako ndani ya BAHARI FM kuanzia 1PM hadi 4PM  wakiwa na MTU MZIMA a.k.a MTU BEI a.k.a PASCAL SHANGA.
Show hii naaminia wakali hawa akiwemo SEEFAR,TIMATSI,TRILLIONAIRE,DOUBLE MIND na MOZTACH watafunguka live kuhusu safari yao kimziki.

No comments:

Post a Comment