Thursday, 11 April 2019

SWANYO BOY MPENZI WAKE NI MAMA LAO#TETESI

Msanii wa Mombasa SWANYO BOY anakisiwa mpenzi wake ni MAMA LAO.Hii ni baada ya msanii huyo kuonekana amepost picha akiwa na MAMA LAO akimshika mapozi hatari kwenye sehemu fulani za burudani mjini Mombasa. Tunamfatilia SWANYO BOY atupe ukweli.SWANYO BOY hatujaweza kumpata atuelezee lakini tunamfatilia afunguke kuhusu hili.Usiwe mbali tuweze kukupa ukweli .MAMA LAO pia tunamtafuta afunguke kuhusu hili kama ana uhusiano wa kimapenzi na SWANYO BOY.

No comments:

Post a Comment