Dogo mkali wa mibundiko kutoka Bongo Tanzania ameangusha kibao kipya chengine mzuka kwa jina la "KWA RAHA". Ngoma hii inaendelea kupokewa kwa uzuri na mashabiki mitandaoni hali inayozidisha umaarafu wake kumfanya Aslay azidi kutamba na mziki.Ukali wa msanii huyu unazidi kushamiri na tetesi mitandaoni zinaenea kuwa Aslay anataka kuanza project ya kufanya collabo na wasanii kadha wa nchini Nigeria ambao majina yao ameyabana kwa sasa kama tulivoarifiwa na ripota wetu.Endapo mwaka huu Aslay ataanza project hiyo atakuwa ameongeza soko la mziki wa Bongo nchini Nigeria na ulimwengu mzima kwa jumla.Wanablog wa NUKTASABA tunamuombea kila la kheri kwenye kazi zake.
Sure
ReplyDelete