Tuesday, 24 April 2018

AKINUKISHA TENA

Mmoja wa wasanii wakali wa himaya ya wasafi MBOSSO akinukisha.Hii ni  
baada ya kuzama jikoni na kuibuka na mpini uliopakuliwa kwa ustadi na mkali wa wakali produsa Laizer.Kibamba hicho kinatambulika kama PICHA YAKE.Kwa kweli kimenyamazisha wanafiki waliochonga ati baada ya kusambaratika kwa kundi la yamoto band hakuna ambaye angepasua anga isipokuwa Aslay pekee.La hasha MBOSSO ameingia kwa kasi huu mwaka hata ni juzi tu alipowika na track ya WATAKUBALI iliyoacha wengi hoi. Na tena amefunika na PICHA YAKE kibao kinachofanya vizuri sana kwa maredio na stesheni za television za  East Africa .Raundi hii Mbosso ameamua kutoa hit baada ya hit.Hii ni ishara tosha kuwa MBOSSO ana kipaji na uwezo wa kukamata mioyo ya mafans waliozimika na tungo zake bab kubwa amekinukisha .Hii ni
baada ya kuzama jikoni na kuibuka na mpini uliopakuliwa kwa ustadi na mkali wa wakali produsa Laizer.Kibamba hicho kinatambulika kama PICHA YAKE.Kwa kweli kimenyamazisha wanafiki waliochonga ati baada ya kusambaratika kwa kundi la yamoto band hakuna ambaye angepasua anga isipokuwa Aslay pekee.La hasha Mbosso ameingia kwa kasi huu mwaka hata ni juzi tu alipowika na track ya WATAKUBALI iliyoacha wengi hoi. Na tena amefunika na PICHA YAKE kibao kinachofanya vizuri sana kwa maredio na stesheni za television za  East Africa .Raundi hii Mbosso ameamua kutoa hit baada ya hit.Hii ni ishara tosha kuwa Mbosso ana kipaji na uwezo wa kukamata mioyo ya mafans waliozimika na tungo zake bab kubwa.Kutokana alivonukuliwa na vyombo vya habari vya Tz ameahidi huu mwaka hatawabwaga mafans sababu atawapa flevas bila kusita zitakazowabamba mwanzo mwisho.

No comments:

Post a Comment