Hawa ni TULUNGE na MBEKAS.Nmemuuliza CLEAN HEART leo kuhusu hili kama kulikuwa na upendeleo wa studio fulani ama labda yeye alibania majina ya wasanii fulani ila amedai kuandaa hizi kura hakuwa na madhumuni mabaya kwa wasanii wa Malindi.Amedai hivi " Niliona wasanii wa Malindi wamekimya sana kwa mitandao ndipo nkabwaga ishu ili niwachangamshe.Nilifurahi sana vyenye waliamka na kujipigia debe kwa mashabiki.Kuna wasanii wengine walipata kura kutokea bara la Amerika na Uropa na kwingineko.Hii inaonyesha wasanii wa Malindi wanajitahidi sana kusukuma kazi zao kote ulimwenguni".Ameongezea ya kwamba hizi kura zimempa morale hata saa hii anapanga kura zengine babu kubwa hapo December ambapo zitakuwa na categories kadhaa na atahakikisha kila msanii anahusishwa.So wale wasanii ambao walikuwa na gundu kuhusu hili wasafishe roho zao Malindi Music isonge mbele.
#Ingekuwa Ni Kura Kweli si Watu Wangechinjana 😂🤣🤣
Ssawa clearly confirmed......mm pia nililaumu lakini sasa nimeelewa
ReplyDelete