Wasanii wa siku hizi wako na mbinu nyingi za kujiingiza kwa soko la muziki.Kuna wengine hutumia njia tofauti kama vile kuwa wacheshi ndio wapate mashabiki,wengine watapiga cover tracks za watu wanaowika
ili watambulike pia.Kuna wengine wanakuwa controversial yaani washari na fujo mingi yaani watupie maneno yenye cheche wenzao ili wapande chati pia.Katika pitepite za mitandaoni leo tumepatana na wasanii wawili wa Malindi kundi moja wanachat ambao muda fulani nyuma kuna mmoja alitumia hii mbinu ya kurusha cheche kwa msanii mwenzake anayefanya vizuri hapa county 003 na Kenya yote kwa ujumla anayetambulika kama DOGO RICHIE a.k.a BIN LADEN.Msanii mwenyewe tunayemuangazia anaitwa MITAA YA KISAUNI.Kwa kweli huyu ni Rapper Mkali Mkongwe sana Malindi.MITAA YA KISAUNI alitoa track kwa jina THE INDUSTRY
na sio uongo akamchana DOGO RICHIE.
Tukinukuu mistari alidai "
Naye DOGO RICHIE akamujibu hivi
Kuonyesha hajaridhika MITAA YA KISAUNI akaendelea
Kuona amelemewa DOGO RICHIE ikabidi ahepe kwa mtandao na mashabiki kwa kundi wakabaki na mshangao .!!Wakaulizana wakijibizana "
Kwa kweli sio vizuri tujengeane majungu wana muziki wa Malindi.Tushirikiane muziki mbali.#BifuSioPoa.
No comments:
Post a Comment