Kuna msanii kwa jina TULUNGE kutokea Malindi amepost kwa mtandao picha inayotatanisha sana mashabiki.Picha hii inaonyesha amevalia mavazi ya kuwa ni mganga wa kienyeji.Ameacha watu njia panda wakikisia kwamba labda msanii huyu kaamua kuwa mganga ama labda ameenda machimbo kutengezewa mvuto wa mziki wake ili mashabiki wamkubali atoboe !
Tunamtafuta TULUNGE atupe ukweli kuhusu hili.Kama ni KIKI pia afunguke !
No comments:
Post a Comment