Kwa kweli kila mtu hafeel poa jinsi hili janga linahangaisha dunia kwa sasa.Corona imefanya wasanii wengi kote duniani kuliongelea yaani kila mtu kwa kiwango chake.Naamanisha wengine wametoa hamasisho ,wengine wakieleza madhara yake na hata wengine wakilaumu janga hili lilikotokea ni wapi haijaeleweka na nia ya kuja duniani ni ipi kwani kuna maradhi mengine ya kitambo mfano Ebola,Malaria ,H.I.V yalikuja but binadamu tunaishi nayo na maisha yanaendelea tu lakini CORONA imekuja na speed kali na madhara kibao ,inashangaza ! Kenya kuna wengi waliimba kulihusu,wengine kama solo artists,wengine makundi lakini tiba haijabainika na kufikia sasa linazidi kuongeza kusambaa.Hali hii imewagusa wana Malindi ambao wamekuja mkao wa pamoja na kutoa mpini unaozidi kuhamasisha watu waendelee kujikinga na COVID 19 juu iko na sio mchezo.
#STAY HOME STAY SAFE, SANITIZE,WASH HANDS,KEEP SOCIAL DISTANCE TO KEEP OFF COVID_19.
Kazi nzuri sana
ReplyDelete