Msanii anayeendelea kufanya vizuri mjini Malindi atoa tahadhari kwa wakenya wote kwamba kuna virusi vya Corona tutahadhari.Ameiambia meza yetu kwamba inastahili sote tufatilie tahadhari inayotolewa na serikali ili tujiepushe na janga hili.Tusipeane mikono wala tusikumbatiane tunaposalimiana.Watu waoshe mikono na maji safi na sabuni ,waache kuomba vitu kama maji na sigara na vingine vya kibinafsi.Tutumie sanitizers na mtu akikohoa au kuchemua unajiziba na handkerchief .Mwisho tusisahau kuvaa mask tuzibe mdomo na pua.Mtu ukijihisi una dalili zake unaenda kwa kituo cha afya haraka ili ulinde wengine usisambaze janga hili lililovamia dunia kwa sasa.
#TujikingeTuwalindeWengine.
No comments:
Post a Comment