Thursday, 13 February 2020

SWANYO BOY KUACHILIA MAUTUNDU


Msanii anayeendelea kufanya vizuri kwa chati za radio za pwani ameiambia meza yetu anataka kuachilia kitu kipya wakati wowote tokea sasa.Msanii aliyekita Malindi kwa sasa ameongeza kwamba kazi hiyo kwa Jina MAUTUNDU ataiachilia akiwa mjini humo.Tumeongea naye kwa marefu na mapana lakini amebana kutuelezea kwamba anafanya launching lini  na dhamira yake ni kuteka mji wa Malindi kimziki ama ? Tusubiri kazi hii.

No comments:

Post a Comment