Monday, 15 July 2019

SWAHIB ANANICHELEWESHA ! N.RICKY ALAUMU .


Msanii wa himaya ya GLM anayejulikana kama N.RICKY  ana lawama alizoelezea meza yetu leo.N.RICKY amefunguka akadai Produsa SWAHIB anayemiliki MASELLE RECORDS iliyoko RUIRU  jijini NAIROBI amechelewesha kuachilia kazi yake kwa jina NILEWE aliyoifatilia kwa muda sasa.Kazi hiyo ambayo aliifanya mnamo february mwaka huu baada ya kuachia track NAJIUGUZA aliyofanya na FASH P, N.RICKY amefunguka kama ifuatavyo "SWAHIB amekuwa akinizungusha mara nyingi ,kila nkimpitia studio anadai bado hajamaliza,sasa ananichanganya .Sijamuelewa kuna nini ama shida iko wapi.Ama labda ni vyenye nimemshirikisha kwenye nyimbo hii ? Nyimbo hiyo ambayo nilikuwa nani.irelease tarehe 26/6/2019 lakini ikabidi niitulize kidogo sababu kuna FASH P  C.E.O wa  GLM ambaye alikuwa anaachilia track inayoitwa OK aliyomshirikisha CRASH V .Baadaye nkapanga tarehe 16/07/2019 yaani hapo kesho niachilie lakini sina hopes sababu SWAHIB simuelewi.Siku hii pia ningeadhimisha BIRTHDAY ya mtoto wangu.Afadhali angesema ningemuulewa " hivyo ndivyo N.RICKY alivyofunguka .Kusema ukweli SWAHIB sio poa kutoachilia kazi ya msanii wako sababu wasanii ndo wanaoinua jina la studio.Pia tumemushauri N.RICKY afatilize hii stori polepole. Tunamtafuta Produsa SWAHIB  atueleze ukweli kuhusu swala hili.SWAHIB popote ulipo jua unatafutwa na NUKTASABA ufunguke pia bro.

3 comments:

  1. Daah.. Ikifikia hapa sina usemi

    ReplyDelete
  2. Sikweli maana Swahib niproducer mwenye mipango na wasanii ambao anafanya kazi so sioni kama kuna shida Kwa msanii kuchelewa kuachilia ngoma

    ReplyDelete
  3. Ikifikia apo huaga yavunja moyo

    ReplyDelete