Msanii wa Mombasa kwa jina SWANYOBOY azidi kuonyesha ufalme wa mapenzi.Hii ni baada ya kupost picha mitandaoni akiwa na mrembo mwingine.
Ripota wetu alipomuuliza alidai huyo ni video vixen CYNTHIA JHENE rafiki yake tu lakini kuna
habari alizoonekana anazificha msanii huyo.Ni majuzi tu picha za yeye akiwa na MAMA LAO zilienea mitandaoni kuwa SWANYOBOY kesha pata jiko,sasa inasambaa tena huenda ashaanza uhusiano na mrembo mwingine.Kwa sasa msanii huyu anatisha sana kwa warembo sababu anajidhihirisha hana ulimi mzito yaani akipata mrembo anasuka anafunga.Tunamfuatilia SWANYOBOY azidi kufunguka kuhusu habari hizi.Usiwe mbali.
No comments:
Post a Comment