Campaign iliyohusisha washikadau mbali mbali wa mziki nchini Kenya iliyojulikana kama #Playkenyanmusic ama #Playke ( Play Kenyan Music ) imedhihirisha kuwa na msukumo wa aina yake.Ilileta gumzo nchini na hata mataifa jirani ikiwemo Tanzania issue ikihitajika media zote nchini Kenya kucheza asilimia kubwa ya kazi za nyumbani.Campaign hii pia imepelekea kuona wasanii tajika kuja pamoja na kufanya kazi bab kubwa ili kuonyesha uwezo wa vipaji vya humu nchini.
Project iliyowaleta wasanii Khaligraph Jones,Fena, Jua Cali,Nyashinski na Naiboi inayojulikana kama CHUKUA SELFIE imegonga views zaidi ya 1.5 Million ndani ya wiki moja! I say KENYA uwezo upo asikwambie mtu.Chukua SELFIE pia wewe https://youtu.be/vDih4Rq_Fto
No comments:
Post a Comment