Monday, 18 March 2019
TIMATSI APUUZA TETESI.
Leo ,Nuktasaba tumepambana na msanii wa MOZTACH TIMATSI na tulipomhoji kuhusu tetesi zilizopo juu yake amepuuza umbea wa kwenye mtandao ati anasakwa na polisi kisa ni kufanya video ya ANANESA na mtoto wa kike wa miaka 16.Amedai hizo ni tetesi tu za vibaka wake wasiopenda ang'are na azidi kufanya vizuri kimuziki.Tulipomuuliza alikuwa wapi mbona kajichikia chini ya maji kwa muda sasa amedai alikuwa amesafiri kiasi kwenda tayari kazi mpya atakayoiachilia hivi karibuni.Ameisifu itagonga vichwa zaidi ya ANANESA.So tusubiri kazi hiyo ikidondoshwa tu utaipata hapa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment