Friday, 22 March 2019
MIKE PLANET KUACHILIA MPINI#
Msanii mkali anayefahamika kwa jina MIKE PLANET ameipa habari Nuktasaba kwamba ifikapo tarehe 25th March 2019 ataachilia ngoma rasmi.Nyimbo hiyo kwa jina TOTO BADI huenda ikafanya vizuri sana sababu produsa MASTER BRAM wa W.M.D RECORDS aliishuhulikia kwa ustadi.Isitoshe na MIKE PLANET ni msanii mwenye kujiamini .Tukae mkao wa kula sababu ikiachiliwa tu utaipata hapa Nuktasaba.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ebwana ndio
ReplyDeleteUpcoming mkali sna mtaan sisi humuita arow boy wa mombasa
ReplyDelete