Tuesday, 24 April 2018

AACHILIA BOMBA NDANI YA ULINGO

 Mkongwe wa hizi kazi ,Mr. Bado a.k.a #CoastRnBKing ama Mzungu Mgiryama kama wengine wetu tunavyomfahamu amekinukisha!‬ Mkali wa RNB pwani amerudi  na kuachilia bomba jipya kwa jina "ULINGO ".Hii ngoma imetayarishwa ndani ya IMAGINE STUDIOS chini ya mkono wake mwenyewe.Hili bomba lina mshiko mkali na mafans  wamelipokea vizuri kama walivyoipokea kazi yake EASY GO aliyomshirikisha  Professor Jay wa Bongo Tanzania.Alipohojiwa na ripota wetu kuhusu video ya nyimbo hii yenye hisia kali,alidai iko hewani na mashabiki wake wanaweza kutazama video ya ULINGO hapa .Enjoy!!

No comments:

Post a Comment