Msanii kwa jina PLANNET aliachana na management sababu yuadai haimsaidii.PLANNET aliamua kuanza label yake kwa jina KUM KUM ENTERTAINMENT ambayo kaachilia kazi kwa jina TINGI.Kusema ukweli wasanii siku hizi wanajitoa kwa management wawe kivyao sababu inakaa huwa hawapati faida kusimamiwa.
No comments:
Post a Comment