It's an Entertainment platform where we support music and arts.If you are an artist and you need our support reach us in our media platforms.Thanks
My Pages
▼
Wednesday, 9 June 2021
KWANI DENI HALIJALIPWA..?@MALINDI MUSIC
Wasanii wa Malindi City wanatakikana wakomaze ahadi zao walizoahidi kwa mashabiki wao.Katika pitepite zetu kwenye mitandao ya kijamii kuna post inayomulika baadhi ya wanaodaiwa.
Lipeni ahadi wanangu shabiki ndio boss wenu msiwazengue
ReplyDelete