Monday, 1 June 2020

LAMECK BOY AFUNGUKA .!

Kuna mambo ambayo huwa wadau wote wa sanaa wanahisi yanakoseka katika tasnia hii.Mambo haya huwahusu wadau wote kwa ujumla .Haya yamemgusa Produsa ambaye pia ni msanii wa HORNET RECORDS ilioko Mtwapa kwa jina LAMECK BOY na amefunguka  kwa mtandao kama ifuatavyo..
Je LAMECK BOY kaongea ukweli ?Kama upo basi wadau wote  tujirekebishe tusukume muziki wetu Far.

#OneLove.

No comments:

Post a Comment