Wednesday, 17 June 2020

ANAYEUA MUSIC INDUSTRY#MALINDI


Kuna presenter fulani kwa jina David Mafishy tokea Radio Jahazi 87.7 Malindi jana kapost kwa mtandao akionekana kuponda mabloga wa county 003.Hii ilianza pale alipotag fb story ya Worsty na Mike Monster na  watu hawakuifuatilia.

Tafadhali tuheshimiane brother kwenye kazi zetu juu ni muda mrefu kumekuwa na tetesi mob kukuhusu lakini tumezilenga kukuziba lakini umechokoza nyuki utaweza mbio ?
Kwanza umesemekana umeua muziki wa Malindi.Hii ni kwa sababu umekuwa ukipatia nafasi ya kwanza wasanii wa studio ya Pillar works kama ambayo hakuna studio zengine.Halafu unaungama unaua muziki muziki kwa mtandao,huoni haya.


Pili umekuwa na cartel na makundi fulani ikiwemo unacheza muziki wa wadosi band sababu una uhusiano na kaka yao ambaye ulicheza naye  katika utotoni.Tatu  hiyo radio jahazi wewe ndiyo wataka uwe kichwa u control pekee yako umesahau kuwa una wenzako pia ambao ni uwape nafasi wasikike pia.Nne huwa unacheza muziki wa wasanii wa nje ya Malindi kwa sana ilihali unabania wasanii wa Malindi halafu ujisifu unainua muziki wa Malindi.Tano huchezi hiphop za Malindi za kina Dowg Guerilla na wengine ukidai wanachana kimombo ilihali unacheza za kina Khaligraph Jones na wameflow kizungu halafu ukiulizwa unajitetea unadai ni sheria za job umepewa .
Punguza kubana,U support Malindi Music.#Next time watchout what you talk brother.!


1 comment:

  1. This clown ass Mafishy is a faggot , Stupid Ass Motherfucker

    Punk ass bitch

    ReplyDelete