It's an Entertainment platform where we support music and arts.If you are an artist and you need our support reach us in our media platforms.Thanks
My Pages
▼
Sunday, 1 December 2019
PLANET KENYA KUACHIA NGOMA MPYA.!!
Msanii tokea 001 anayefahamika kama PLANET KENYA ameiambia meza yetu leo kwamba ifikapo tarehe 4/12/2019 ataachilia kazi mpya aliyomshirikisha DJ SUSYA.Tuisubirie kazi hii juu ikidondoka tu utaipata hapa..!!
No comments:
Post a Comment