Hit maker wa
Safari Ya Bamba,
P-Day amefunguka na kuweka wazi upendo wa kazi za msanii mwenza Fash P .Fash P ni miongoni kwa wasanii wanaofanya vizuri katika tasnia ya mziki kutoka Pwani ya Kenya,Malindi. P-Day kwa upande mwengine ni msanii anayepeta nchini kwa vibao kama
Mwana Nyamala na ni msanii mwenye makazi yake mjini Mombasa. P-day Day amedhihirisha haya katika mtandao wa Facebook alipochangia post ya Fash P.
Unaweza icheki
hapa .Huenda hii ikapelekea wasanii hawa wawili kufanya kazi pamoja.Tuko hapa kama NUKTA SABA kufuatilia na kukuletea dondoo za hapa na pale za wasanii wa nyumbani.Usisahau kuLIKE na kuFOLLOW blog yetu .
No comments:
Post a Comment