It's an Entertainment platform where we support music and arts.If you are an artist and you need our support reach us in our media platforms.Thanks
My Pages
▼
Friday, 21 June 2019
KIDDOH KUANZA MEDIA TOUR.!
Msanii kutoka Malindi kwa jina KIDDOH KATULUNGE ameaimbia meza yetu ataanza media tour hivi karibuni.Amedai anataka atambulishe kazi yake aliyoiachilia majuzi inayoitwa TOTOTOH katika Radio za pwani.Tunamuombea mafanikio.!
No comments:
Post a Comment