It's an Entertainment platform where we support music and arts.If you are an artist and you need our support reach us in our media platforms.Thanks
My Pages
▼
Thursday, 30 May 2019
OTILE BROWN SHOO BOMBA
Msanii mkali hapa KENYA anayefahamika kama OTILE BROWN atakuwa DIANI ndani ya MANYATA RESORT ifikapo tarehe 08/06/2019.Show hiyo itawakilishwa na vichwa ikiwemo MC NOTTYSTEE,DJ SONCHIZI,DJ ARK na wengineo.Kwa kweli show hii si ya kukosa.
No comments:
Post a Comment