It's an Entertainment platform where we support music and arts.If you are an artist and you need our support reach us in our media platforms.Thanks
My Pages
▼
Sunday, 17 March 2019
MEDALLION ALIONGOZA NAMBA 1.
Habari tuzipatazo kwa saa hii ni kwamba SHOW YA KILIFI GOT TALENT ilifanyika vyema jana na MEDALLION ndio alikuwa wa kwanza yaani namba moja nakuondoka kitita cha 50k.
Akafatiliwa na msanii,namba mbili ZILLER BUS aliyeondoka na 30k(elfu thelathini).Namba 3 akachukua LIL MIZZE aliyetoka na 20k.
Show hii ya jana ilidhihirisha KILIFI COUNTY kuna vipaji na wasanii wanaweza.#TUNAKUZAVIPAJI#
No comments:
Post a Comment