Mkongwe wa hizi kazi ,
Mr. Bado a.k.a
#CoastRnBKing ama Mzungu Mgiryama kama wengine wetu tunavyomfahamu amekinukisha! Mkali wa RNB pwani amerudi na kuachilia bomba jipya kwa jina
"ULINGO ".Hii ngoma imetayarishwa ndani ya
IMAGINE STUDIOS chini ya mkono wake mwenyewe.Hili bomba lina mshiko mkali na mafans wamelipokea vizuri kama walivyoipokea kazi yake
EASY GO aliyomshirikisha
Professor Jay wa Bongo Tanzania.Alipohojiwa na ripota wetu kuhusu video ya nyimbo hii yenye hisia kali,alidai iko hewani na mashabiki wake wanaweza kutazama video ya ULINGO
hapa .Enjoy!!
No comments:
Post a Comment