Studio ya PILLAR WORKS mjini Malindi kadai imesign msanii kwa mara ya kwanza saa hii April 2020.Cha kustaajabisha ni vyenye imekuwa ikifanya kazi 2018 na kufanyia kazi wasanii wanaotamba Malindi mfano wa SWANKY,KING D na wengine mob.Habari zilizopo kwa mtandao ni kuwa studio hiyo imekuwa inalea na kukuza vipaji muda wote huo.Je Kuna ukweli hapa ?
Uko ukweli
ReplyDeleteUkweli uko na mengi twasubiri zaidi
ReplyDelete